Événements

Samaki Mchangani screening

English

On the auspicious day when Godfrey launches the first Tanzanian cellular company, he is involved in a fatal accident. Haunted by his series of choices, our young ambitious entrepreneur reveals more than one face of ‘Africa rising’.



Filamu inaanza na siku ya faraja kwa ajili ya bwana Godfrey kitinga, mjasiriamali mzawa anapofungua kampuni ya mawasiliano – Pamoja communications. Kwa bahati mbaya jioni yake anapata ajali na kumuua muuzasamaki Mama Aisha. Godfrey anasumbuliwa na mtanziko ama kuzika mwili au kuzika kampuni yake. Kutokana na uamuzi wake, mawazo yanamkera na kuonyesha sura mbili ya kizazi kipya cha ‘Africa inayoibuka’

Partager :